Jinsi ya kupata wazo la biashara (special kwa graduates)

Nimeipenda ila umenivuruga ulipomalizia KUAJIRIWAAAA
Ukiwa unatafta hauchagui kazi. Pia nimeongelea kwa yule ambae hana dira kabisa, kama ajira akipatikana poa kama akiona fursa popote nayo pia itakuwa pouwa. Ilimradi asikae kwa kubweteka.
 
Kweli nyani haoni kundule....!!!! Hebu soma tena hayo uliyoandika halafu unambie umechangia nini kuhusu uzi huu! Wabongo kwa kuona makosa ya wenzao bwana, wakati wewe pia una udhaifu huo huo maana umeshaanza kuwadiscuss watu badala ya kujadili thread hiyo nzuri. Ovyoooooo.......
 
Hii ndio Tz
 
Mada nzuri sana hasa kwa wanaotafuta pa kuanzia(mtaji).Ingevutia sana kama ungeishia kwa kusema baada ya kuzitafuta fursa hapa na pale nikafanikiwa kuwa na kampuni xy inayofanya uzalishaji/usambazaji n.k wa bidhaa fulani;nadhani wachangiaji wangekuja wengi sana.Ni kweli tunapenda kuajiriwa,lakini tusizeeke kwenye kuajiriwa.
 
Nashukuru kwa mawazo yako ingawa nadhani definition yangu ya ajira imekuwa na utata kwa wasomaji. Ajira kwangu ni chochote unachokifanya pasipo kujarisha umeajiriwa au umejiajiri...
 
Nimependa sana maandiko yako.
Kuanzia sasa hvi nayafanyia kazi.
 
Nimependa sana maandiko yako.
Kuanzia sasa hvi nayafanyia kazi.
Nimefurahi sana kusikia kwamba unaanza kufanyia kazi Uzi huu. Nakuomba kama hautojali uwe unanipa tips kila hatua unayofanya.

Mungu akubariki sana katika utekelezaji ndugu JACKSON.
 
Mada nzuri sana.

Mi naomba kuongezea kidogo recommendation kwa wale watakaoweza kkuwa na access na NBAA Journals,kuna article iliandikwa na mwanaJF mwenzetu mkuu Shafi_Abeid

How to create your own business 2002;

ama kama mwenyewe ataweza kuipandisha hapa isaidie vijana wengi zaidi!
 
OK wajuzi wakiona wataupandisha mkuu, nadhani utakuwa na msaada sana.
 
Nimefurahi sana kusikia kwamba unaanza kufanyia kazi Uzi huu. Nakuomba kama hautojali uwe unanipa tips kila hatua unayofanya.

Mungu akubariki sana katika utekelezaji ndugu JACKSON.
Sawa Kaka kila hatua nitakayoipitia nitakuwa nakujulisha.
 
Biashara haihitaji elimu, hata kwa kile ulichokiandika kwa yule ambae hajaenda shule anawezafanya. By the way asante kwa kuelimisha watu wengi kubuni mawazo juu ugangaji njaa wetu mtaani.
 
Umetoa ushauri mzuri sana; ahsante kwa kuwashauri vijana wetu waliologwa na kampuni za kubet.
Juzi kuna dogo aliniambia hata iweje hawezi acha kubet. Mbaya zaidi hana kazi... Hakika yajayo yanafurahisha.
 
Biashara haihitaji elimu, hata kwa kile ulichokiandika kwa yule ambae hajaenda shule anawezafanya. By the way asante kwa kuelimisha watu wengi kubuni mawazo juu ugangaji njaa wetu mtaani.
Tuna kumbushana mkuu
 
Juzi kuna dogo aliniambia hata iweje hawezi acha kubet. Mbaya zaidi hana kazi... Hakika yajayo yanafurahisha.
Huo ndo ulemavu wa akili ... unabet ??/ Unazaliusha nini?
 
Mfano mimi katika familia hakuna anaeamin nje ya kuajiriwa

Alaf mim ndo sipendi kuajiriwa mpak basi .sina mtaj ila nina mtaj wa akil japo sio nyingi za kuitwa jiniaz

Naamin siku moja allah atafungua njia zake
Una mawazo mazuri, wanaoajiriwa kamwe hawawezi kuwa wabunifu, wanatembelea mawazo ya wengine.
 
Huo ndo ulemavu wa akili ... unabet ??/ Unazaliusha nini?
Ni tatizo kubwa sana kwasasa, kwasababu unakuta anapoteza muda na pesa kubet wakati hiyo kama angewekeza kwenye biashara ndogo ingeweza kumuinua..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…