U urasa JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 434 Reaction score 2 Oct 25, 2010 #1 ruka mstari wa kwanza na wa pili,nenda wa tatu na weka alama ya vema mbele ya bendera ya chadema kwenye kibox cha wazi,mkumbushe na mwenzako kuwa picha ya slaa ni ya tatu
ruka mstari wa kwanza na wa pili,nenda wa tatu na weka alama ya vema mbele ya bendera ya chadema kwenye kibox cha wazi,mkumbushe na mwenzako kuwa picha ya slaa ni ya tatu
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,183 Oct 25, 2010 #2 mhh wewe umeona wapi karatasi au ndo zile za Tunduma
U urasa JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 434 Reaction score 2 Oct 25, 2010 Thread starter #3 kigogo said: mhh wewe umeona wapi karatasi au ndo zile za tunduma Click to expand... kigogo ndg yangu leo nimepata bahati ya kuzichungulia kwa mafisadi wakati wa semina yao,picha ya kwanza ni ya mziray na ya pili ni kikwete
kigogo said: mhh wewe umeona wapi karatasi au ndo zile za tunduma Click to expand... kigogo ndg yangu leo nimepata bahati ya kuzichungulia kwa mafisadi wakati wa semina yao,picha ya kwanza ni ya mziray na ya pili ni kikwete
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,075 Reaction score 9,263 Oct 25, 2010 #4 Kigogo said: mhh wewe umeona wapi karatasi au ndo zile za Tunduma Click to expand... MMMH!! labda kwenye lile tangazo la NECK.
Kigogo said: mhh wewe umeona wapi karatasi au ndo zile za Tunduma Click to expand... MMMH!! labda kwenye lile tangazo la NECK.