Elections 2010 Jinsi ya kupiga kura!!!

Elections 2010 Jinsi ya kupiga kura!!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu leo asubuhi wakati nasikia mapitio ya magazeti RFA nimesikia kuwa NEC imabadilisha jinsi ya kupiga kura itakuwa kuweka Tick kwenye kibox kilichopo mbele ya mgombea Urais.

Sasa nikapata utata,siku za karibuni nimesikia kuwa kuna huko tunduma kumekamatwa kontena lilojaa kura zilizokwisha pigwa kura kwa kuweka Tick kama ilivyoelekezwa na NEC jana.

Hii si ndio kurahisha suala zima la uchakuaji wakuu naona karatasi walizoleta haziendani na zile NEC ilizokuwa imezianisha hivyo kutoa tamka kuwa zibadilishwe.

Sasa kwa kuwa muda umeisha watawezaje kubadilisha kwa kipindi kifupi namna Hii

Asanteni na Mungu awabariki kwa jinsi mnavyoitakia mema nchi ya Tanzania kwa kufanya mabadiliko ya kweli kwa ajili ya watoto wetu na wajuku wetu wajao.
 
Back
Top Bottom