Jinsi ya kupika bagia

G45

Senior Member
Joined
Apr 21, 2016
Posts
163
Reaction score
94
Naomba kujua jinsi ya kupika bagia alafu pia kujua tofauti ya bagia za Tz naza Kenya coz wakenya wanasema bagia kwao ni viazi vimewekwa unga wa rangi vika kaangwa!
 
Bagia gani mkuu? Za kunde,za dengu,za......
 
zile za kunde anaejua aelezee procedure nimekumbuka sana shule ya msingi
 
Bagia au Badia?[emoji15]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…