Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
Mkuu hapo hakuna haja ya chumvi sukari inatoshaSukari tena..na chumvi je
usitusahau hata karibu ya kiuongo uongoMkuu uko vizuri..ngoja siku moja nitajaribu
Poa mkuuusitusahau hata karibu ya kiuongo uongo
😀😀 pole mkuuyummy
juzi nilipika hii kitu ilikuwa ndo first tym,nilivyokata boga nkatoa mbegu tuu nkaacha yale manyuzi nkapika hvohvo yaaan ilikuwa kioja..
ladha yote ya boga ikapotea
asanteee😀😀 pole mkuu