Tia vitu vyote kwenye nyama isipokuwa mafuta na pili pili boga na nazi.
Teleka nyama kwenye moto mpaka iwive sawa sawa usitie maji hata kidogo ikiwa imewiva tia mafuta na pili pili boga ulizozikata kwa urefu nyembamba tia na pili pili za kuwashwa acha viwive tena kidogo, kasha tia nazi yako, hiwache ichemke mpaka nazi hiwe imewiva, ipuwa weka kwenye bakuli kwa kuliwa.