Kujua nini sasa?
kichwa cha habari kinajielezea, nimeomba kwa mtu anaejua anifahamishe kupika
owkeeeySamahani nilikuwa sijasoma heading yako.
owkeeey
Habari zenu??? Mimi ni mgeni humu, nilikuwa naoma msaada wa anaejua jamani.
Ooh kweli..; Na'am nimejifunza maakulati mengi kwao hadi nimesahau kuwashukuru !!!!!farkhina Angel Nylon wataalam hao