Jinsi ya kupika Kababu

Jinsi ya kupika Kababu

Shining Light

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2024
Posts
406
Reaction score
523
Mahitaji

  • Mayai 2
  • Unga wa ngano au Bread crumbs
  • Kijiko kimoja cha tangawizi
  • chumvi
  • Mixed spice au Viungo vya Pilau
  • oil
  • simba mbili au cubes

Maelezo
  1. Weka nyama ya kusaga kweye chombo na jikoni kwa moto mdogo
  2. Weka viungo vyako (Mixed spice, pilipili manga, simba mbili)
  3. Changanya mchanganyiko mpaka utakapo iva kicha weka pembeni
  4. Kama umepoa vunjia mayai na breadcrumbs au unga wa ngano
  5. Tengeneza kwa size unayotaka kwa kutumia mikono
  6. Weka kwa sahani kisha ziache kwa jokofu kwa lisa moja
  7. Bandika mafuta yakipata moto punguza moto, kisha anza kuchoma kabab zako mpaka zitakapo badilika rangi ya brownn hivi
  8. Weka pembeni tayari kwa kuliwa
 
Back
Top Bottom