Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

 
Kweli mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe....kabichi rafiki mkubwa kwangu kozi alinitoa kutoka kwenye kilo sabini na upuuzi Had kunileta kwenye kilo hamsini na chache pasipo zoezi tena kwa kunipunguzia kilo nne au tano kila week ....apo sijasahau radha yake ikiliwa na wali... unapoiponda sikuelewi..
 
Unaipikaje mkuu?? Nataka mtoto akisafiri nijipige kadiet flani hivii ka week 2
 
Wanao battle cancer wanajua umuhimu wa cabbage we idharau tu tafuta makundi ya mboga ambazo zinasaidia kupunguza vimelea vya hilo gonjwa utaikuta cabbage endelea tu kula chips kuku bloiler
 
Haha juzi kati nilikuwa kijiweni kubishana katika hili la kabichi, binafsi kabichi siikubali kabsa iwe na ugali hata na wali....
 
Aisee wewe kama mimi. I hate that sh*t kichizi sijui kwa nini
 
Mkuu hujawahi pigwa na shida mpka kabichi ikawa ndo best alternative kwako, haya maisha acha kabisa watu wanatoka mbali sana aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…