Jinsi ya kupika keki ya chocolate chips

Joined
Jul 9, 2017
Posts
27
Reaction score
3
Jinsi ya kupika keki ya ndizi na chocolate chips


Jaribu mapishi yafuatayo na ufurahie na familia na marafiki wako
Keki ya Ndizi ikiwa na vipande vidogo vya chokoleti (chocolate chip)

Viungo vya mapishi
Hatua 1: Kutengeneza Mchanganyo

Kikombe 2/3, vipande vidogo dogo vya chokoleti ya kawaida
Kikombe 1/2, sukari
Kikombe 1/4 karanga, au korosho au lozi zilizochomwa na kubanguliwa/menywa maganda

Hatua 2: Changanya viungo

Kikombe 1 1/2 unga wa ngano mweupe (Azam PPF)
Kijiko 1 unga wa mdalasini uliotwangwa
Kijiko ya chai 3/4 baking soda (magadi ya pacti yaani Bicarbonate)
Kijiko ya chai 3/4 baking poda
Kijiko 1/4 chumvi

Hatua 3: Changanya Viungo Vilivyobakia

Kikombe 3/4 Sukari
Kikombe 1/2 siagi au margarine (kimbo/Blue band)
Yai 1 kubwa
Ndizi 3 zilizoiva vizuri
Vuruga na ongezea kwenye mchanganyiko wa unga
Vijiko 3 vya mezani vya maziwa

=> Oka kwa muda wa dakika 40-50 katika oven/tanuri lenye jotola 180 nyuzijoto yaani centigrade.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…