Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
[emoji1785]Mtaanza kupika na makamasi
Wanapikwa waliokomaa tu (wakubwa)Habari!
Twende moja kwa moja kama mada husika. Napenda sana kupika mapishi mbalimbali kulingana na mazingira niliyopo na nini nahitaji.
Sasa wapishi wenzanu wenye uzoefu na pishi la kumpika Konokono kwa chakula tusaidieni kupeana uzoefu.
Pia kama ni aina zote za Konokono unaweza kumfanya kitoweo kwa chakula.
Hii imenishawishi kutokana na eneo niliopo naona kuna Konokono wengi sana sasa kama naweza kuwafanya kitoweo.
Shukrani Ma-chef Cook Wote.
Uongo!Wanapikwa waliokomaa tu (wakubwa)
Inawezekana kwa kuwa nilishuhudia walivyokuwa wanatolewa hayo magamba.Uongo!
Waliokomaa huwezi kuwatoa gamba lake. Lazima upike wale wadogo. Ambao gamba unalikata na kisu
Wala siyo Japan mbali kot huko, West Africa hasa Ghana ni chakula muhimu sana!Ingia youtube tafuta "Japanese seaFood snail sashimi"
Hapo utaona wanavyoandaliwa bila hata ya kupikwa.
Kumbuka kuandaa Soy Sauce Tamu!
Hata Kenya kuna walioanza hiyo biashara. Nilishaona BBC New.Wala siyo Japan mbali kot huko, West Africa hasa Ghana ni chakula muhimu sana!
Lakini mie niliwaonja hapo Uganda kwa rafiki yangu wa Kiganda!! Wana ladha kama firigisi hivi, watamu sana.
Pia ni biashara nzuri sana, kuwakausha na ku export!!
Hata Kenya kuna walioanza hiyo biashara. Nilishaona BBC New.
Sema sasa hawa wa kiAfrika ni wale tuliozoea tu. Huko Asia kuna varieties tofauti tofauti na mapishi tofauti.