Jinsi ya kupika makande

Unaweza weka na Katanga ambazo hujazisaga inakuwa poa pia na ukiunga na Nazi. Pia nilishawahi kula makande nyama nilipokuwa nayo yalikuwa matamu balaa.
 
weka carrots....nyanya ...hoho....kitunguu....na nazi.

afu pika na samaki pembeni ila samaki wa mchuzi.
Sistaa vipi umeolewa!!!sory lakini kama nitakuwa mekwaza[emoji15] [emoji15]
 
Whaaat, makande yanaliwa na binadamu? Jamani makande si ni chakula cha ng'ombe na punda?
Mi naona huo ni uchokozi kwa kasinde na mshana jr na werason!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji87] [emoji87]
 
Ila nimeyamiss [emoji134] [emoji134] sijayala kalibia mwaka we unaepika eb nikalibishe
 
Hapa ndo tutajua Miss nani anajua kupika...Single mothers jitokezeni tuone maujuzi yenu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…