Mimi najua kupika ile simpo ya mihogo, maharagwe yasiyoungwa na chai ya rangi.
Kama uko tayari futa ubao tuanze darsa...
Queenkami
Tambi kuna aina 2, za pasta na zile nyeupe refu, ss kupka zile za pasta kwnz unakaanga mpk zibadlke rang kdg, alafu unachuja mafuta, den unatia tui/maziwa ya maji na hilik n sukar unakoroga na moto mdg mdg ili ziwive.. Na zikikauka tayar kwa kuliwa!!
Sent from my BlackBerry 9900 usingpp JamiiForums