Jinsi ya kupika Matango

Jinsi ya kupika Matango

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,143
Reaction score
4,462
Kuna ule ushamba wa wadada wengi wa kibongo wanaoamini kwamba tango haliwezi kupikwa kama ambavyo limezoeleka kuliwa bila kupikwa.

Kiukweli unakosa uhondo mwingi wa tunda hili adimu unapolitafuna bichi bila kulipika.

Hatua za kulipika tango.

1. Pasha maji ya uvuguvugu kiasi na usiweke chumvi kwanza

2. Kama tango lako ni yale yenye maganda, basi usiyatoe maganda coz yana utamu wake kwa wanaojua kuyatumia.

3. Weka tango kwenye sufuria yako.

4. Anza kukoroga taratibu ukianzia kushoto kwenda kulia huku unaupeleka mwiko juu na chini taratibu

5. Endelea kukoroga hadi uone joto linaongezeka kwenye sufuria yako. Hapo ongeza speed ya kukoroga.

Kisha utapojiridhisha kwamba tango lako limeiva vyema. Litoe kwenye sufuria.
 
Back
Top Bottom