Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,545 Aug 11, 2024 #1 Mambo yasiwe mengi napenda zaidi mchicha wa mafuta wenye mchuzi maana yake nyanya inahusika, naomba kujuzwa formular nataka kutowa kitu na ugali. Mahitaji ni nini na nini na kiwango chake.
Mambo yasiwe mengi napenda zaidi mchicha wa mafuta wenye mchuzi maana yake nyanya inahusika, naomba kujuzwa formular nataka kutowa kitu na ugali. Mahitaji ni nini na nini na kiwango chake.
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Aug 11, 2024 #2 Search Google mkuu itakupa majibu
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,545 Aug 11, 2024 Thread starter #3 Nataka sotojo kama hili.
Unavoidable Servant JF-Expert Member Joined Oct 13, 2021 Posts 1,728 Reaction score 4,545 Aug 11, 2024 Thread starter #4 edon66 said: Search Google mkuu itakupa majibu Click to expand... Nakutana na mapishi ya mchicha wa nazi, mimi nataka wa mafuta halafu siyo wa kukaanga.
edon66 said: Search Google mkuu itakupa majibu Click to expand... Nakutana na mapishi ya mchicha wa nazi, mimi nataka wa mafuta halafu siyo wa kukaanga.
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 2,907 Reaction score 9,135 Aug 11, 2024 #5 Unavoidable Servant said: Nakutana na mapishi ya mchicha wa nazi, mimi nataka wa mafuta halafu siyo wa kukaanga. Click to expand... Sawaa ngoja waje
Unavoidable Servant said: Nakutana na mapishi ya mchicha wa nazi, mimi nataka wa mafuta halafu siyo wa kukaanga. Click to expand... Sawaa ngoja waje
Fake P JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 3,952 Reaction score 11,919 Aug 11, 2024 #6 Midekoo 😥Au nimekuchanganya na ufundi wako? Zamanino
Kaory JF-Expert Member Joined Jun 7, 2022 Posts 537 Reaction score 1,114 Aug 12, 2024 #7 Unavoidable Servant said: Nakutana na mapishi ya mchicha wa nazi, mimi nataka wa mafuta halafu siyo wa kukaanga. Click to expand... Kata kitunguu, carrot, hoho na nyanya. Weka mafuta, Anza kukaanga kitunguu kikiiva weka nyanya, ikirojeka weka mchicha na carrot na hoho, mchicha una vimajimaji hivyo unapokuwa unaiva unapata mchuzi wa mchicha. Enjoy
Unavoidable Servant said: Nakutana na mapishi ya mchicha wa nazi, mimi nataka wa mafuta halafu siyo wa kukaanga. Click to expand... Kata kitunguu, carrot, hoho na nyanya. Weka mafuta, Anza kukaanga kitunguu kikiiva weka nyanya, ikirojeka weka mchicha na carrot na hoho, mchicha una vimajimaji hivyo unapokuwa unaiva unapata mchuzi wa mchicha. Enjoy