komeka
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 1,072
- 403
Wakuu nahitaji kujua upikaji wa aina hii ya nyama kwani kwangu mi ni mashikoro mageni ....hapa ninapofanyia shughuli zangu Kuna duka wanauza hii kitu huwa natamani ninunue ila naogopa inaweza kunisumbua kwenye kupika...je inapikwa kama nyama nyingine za kawaida?