Jinsi ya kupika ommelete ya mkate tamu na Kwa urahisi

Aaliyyah

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2022
Posts
19,041
Reaction score
46,239
Mkopoa!

Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako

Jinsi ya kupika
vunja mayai Yako katika bakuli weka viungo kias utachopenda pia kulingana na mayai Yako Changanya mayai na viungo vichanganyike vizuri

Chukua mkate toa nyama ya kati ukate vizuri pembe nne

Jinsi ya kupika
Bandika pan jikoni weka mafuta kidogo weka kipande Cha pembeni Cha mkate


Weka mayai katikati ya mkate acha kidogo Kisha geuza ukigeuza usiache sana ikauka sana geuza Tena weka kipande Cha kati Cha mkate ambcho ulitoa awali kirudishe kilipokuwa Kisha geuza Tena pika Hadi uone mayai na mkate wako umekauka vizuri
Unaweza kunywa na chai au maziwa
 
Mambo kama haya mimi ndio hupendelea🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…