Jinsi Ya Kupika Panya (MBUKU)

mzama chumvini

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2016
Posts
730
Reaction score
642
Sabakher Wadau;
Baada ya kuona Maujuz Mbali Mbali Ya Mapish Humu Na Mim Nimeona Mapish Matamu Ya Panya Almaarufu Kama Mbuku.
Panya Anaweza Kutumiwa Kama Kitoweo! Au Roast.
MAHITAJI;
Panya Saiz Ya Kati Mara Nying Tunatumia Wa Porin
Moto
Mchomeo
Mafuta
Chumv
Sufulia!
JINSI KUMTENGENEZA;
kwa kitoweo huna haja ya kutoa ngoz unapitisha mchomeo kuanzia mdomo unatokea Mkiani. Unambanika kama mshikak na kumgeuza geuza mpaka aive!
KWA ROast;
Unamchana na kumchuna ngoz na Kumtengeneza Roast Kama Vyakula Vingine.

Mboga Hii Ni Nzur Kwa Ugal Na wali.
 
Freyzem ukikaa na mwiz lazima uwe mwiz
Hahaa, me cjui ntaanzaje hyo ktu! Hivi ni wale wasumbufu ndani ya nyumba au ni wale wanaosumbua kwenye mashamba ya nafaka kwa kuwatia hasara wakulima kwa kuzitafuna,..au ni panyabuku..!!
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
kumbe rahisi hivo nilijua kuna mambo ya limau sijui tangawizi mara saumu kumbe hivo tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…