Jinsi ya kupika pilau kwa kutumia RiceCooker

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
fuata hatua zote za kupika pilau lakini badala ya kutumia jiko wewe tumia rice cooker.
Kama kuna sehemu sijaeleweka jisikie huru kuniuliza.
Enjoy pilau lako
 
Mi huwa naanza jikoni kama kawaida, ila nikishaweka mchele nahamishia kwenye rice cooker au oven(hapa inabidi uache maji yapungue kidogo). Pilau linatoka vizuri na hamna hofu ya kuunguza.
 
Nitajaribu japo inabidi nigoogle namna ya kupika pilau.Rice cooker ipo ila huwa napikia wali tu.
 
Hii ndio nji nyepesi na inayotoa matokeo mazuri....

Njia aliyoelezea huyo jamaa hapo juu inaharibu rice cooker kuanzia sufuria hadi mechanism yake maana rice cooker sio jiko...

Mi huwa naanza jikoni kama kawaida, ila nikishaweka mchele nahamishia kwenye rice cooker au oven(hapa inabidi uache maji yapungue kidogo). Pilau linatoka vizuri na hamna hofu ya kuunguza.
 
Hii ndio nji nyepesi na inayotoa matokeo mazuri....

Njia aliyoelezea huyo jamaa hapo juu inaharibu rice cooker kuanzia sufuria hadi mechanism yake maana rice cooker sio jiko...

Uko sahihi Watu8. . sasa imagine kuna watu wanasema hata mboga wanapika kwenye rice cooker. Ukifanya hivyo nahisi baada ya muda mfupi tu itakufa.
 
Last edited by a moderator:
Mi huwa naanza jikoni kama kawaida, ila nikishaweka mchele nahamishia kwenye rice cooker au oven(hapa inabidi uache maji yapungue kidogo). Pilau linatoka vizuri na hamna hofu ya kuunguza.
Nilitania tu ili nipate msaada,kwa kweli umenisaidia sana
 
Sio kweli kuwa ukipikia vitu vingine inakufa, Mi napika mboga kama sijisikii kupika, viazi na Pilau mwanzo mpaka mwisho kwa rice cooker na ina mwaka wa 3 sasa wala haina tatizo lolote.
 
Uko sahihi Watu8. . sasa imagine kuna watu wanasema hata mboga wanapika kwenye rice cooker. Ukifanya hivyo nahisi baada ya muda mfupi tu itakufa.
Kuna mtu nilimuona anapika makongoro kwenye rice cooker. Ile kitu haikudumu
 
Sio kweli kuwa ukipikia vitu vingine inakufa, Mi napika mboga kama sijisikii kupika, viazi na Pilau mwanzo mpaka mwisho kwa rice cooker na ina mwaka wa 3 sasa wala haina tatizo lolote.

yep upo sahihi...! maana hata watengezaji wamesurgest vitu unavoweza kupika kwa rice coocer!
 
hivi 'raisi kuka' ni jiko..? wazungu wameturahisishia sana mambo "kuchemsha chemsha tu" si kupika ...any way niko na ricecooker hapa na ktk manualrefer yake naona ukiacha ubweche, unaeza "chemsha" all kind of vegetables including viazi "ulaya" na viazi "afrika"..... pilau halitaki "kuchemshwa" pilau linataka kupikwa hahahaaaaa...!
 
Nyie wa kuja na pilau wapi na wapi?

Raha ya pilau mkaa na uifunikie iwe na matandu na ukoko.

Hiyo yenu itakuwa in robo pilau.

Pilau ya kiume hiyo mama, hatuna mpango na hiyo mikaa yenu.
 
kwa wanaojua...ni kweli pressure cookeer ya umeme ina nguvu au ina uwezo wa kupika vyakula vingi kuliko rice cookeer??
 
fuata hatua zote za kupika pilau lakini badala ya kutumia jiko wewe tumia rice cooker.
Kama kuna sehemu sijaeleweka jisikie huru kuniuliza.
Enjoy pilau lako

ninaomba mapishi ya kupika pilau samahani ndio naona mjadala hapa nipe recipe asante
 
kwa wanaojua...ni kweli pressure cookeer ya umeme ina nguvu au ina uwezo wa kupika vyakula vingi kuliko rice cookeer??

Yap, waweza pika kande,nyama,maharage etc. Lakini michemsho
 
Back
Top Bottom