MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mi huwa naanza jikoni kama kawaida, ila nikishaweka mchele nahamishia kwenye rice cooker au oven(hapa inabidi uache maji yapungue kidogo). Pilau linatoka vizuri na hamna hofu ya kuunguza.
Hii ndio nji nyepesi na inayotoa matokeo mazuri....
Njia aliyoelezea huyo jamaa hapo juu inaharibu rice cooker kuanzia sufuria hadi mechanism yake maana rice cooker sio jiko...
Nilitania tu ili nipate msaada,kwa kweli umenisaidia sanaMi huwa naanza jikoni kama kawaida, ila nikishaweka mchele nahamishia kwenye rice cooker au oven(hapa inabidi uache maji yapungue kidogo). Pilau linatoka vizuri na hamna hofu ya kuunguza.
Nilitania tu ili nipate msaada,kwa kweli umenisaidia sana
Nyie wa kuja na pilau wapi na wapi?
Raha ya pilau mkaa na uifunikie iwe na matandu na ukoko.
Hiyo yenu itakuwa in robo pilau.
Kuna mtu nilimuona anapika makongoro kwenye rice cooker. Ile kitu haikudumu
Sio kweli kuwa ukipikia vitu vingine inakufa, Mi napika mboga kama sijisikii kupika, viazi na Pilau mwanzo mpaka mwisho kwa rice cooker na ina mwaka wa 3 sasa wala haina tatizo lolote.
Nyie wa kuja na pilau wapi na wapi?
Raha ya pilau mkaa na uifunikie iwe na matandu na ukoko.
Hiyo yenu itakuwa in robo pilau.
Nyie wa kuja na pilau wapi na wapi?
Raha ya pilau mkaa na uifunikie iwe na matandu na ukoko.
Hiyo yenu itakuwa in robo pilau.
fuata hatua zote za kupika pilau lakini badala ya kutumia jiko wewe tumia rice cooker.
Kama kuna sehemu sijaeleweka jisikie huru kuniuliza.
Enjoy pilau lako
kwa wanaojua...ni kweli pressure cookeer ya umeme ina nguvu au ina uwezo wa kupika vyakula vingi kuliko rice cookeer??