Jinsi ya kupika Pilau ya Nyama ya Ng'ombe

Hearten

Member
Joined
May 17, 2016
Posts
46
Reaction score
54
ha.jpg

Karibu katika jiko na mapishi, na leo tutajifunza kupika pilau la nyama ya ng`ombe.
VIPIMO,

  • Mchele 2kg
  • Nyama ya ng`ombe 1k
  • Pilpilihoho 1kubwa
  • Nyanya 3kubwa
  • Vitungu maji 2vikubwa
  • Thomu iliyosagwa 1kimoja cha supu
  • Tangawizi 1kijiko kimoji cha chai
  • Mafuta ya kupikia 1/2 kikombe
  • Binzari nyembamba 1kijiko kimoja cha chai
  • Pilpili manga1/2 kijiko cha chai
  • Hiliki 1/2 kijiko cha chai
JINSI YA KUPIKA PILAU LA NYAMA YA NG`OMBE

  1. Loweka mchele wako katika chombo,
  2. Chukua nyama na uioshe na itie thomu,tangawizi,ndimu,pilipili manga, na chumvi kiasi
  3. Iweke jikoni hadi ikauke maji,na maji yakikauka ikaangekaange ka hayo hayo mafuta ambayo uliyaweka mwanzo hadi kuwa rangi ya hudhurungi(broun)
  4. Katakata vitunguu na nyanya pembeni
  5. Chukua pilpil manga,thomu,tangawizi na uvisage katika mashine ya kusagia au kinu,
  6. Weka sufuria jikoni na utie mafuta,subiri yapate moto,
  7. Kisha tia vitungu na vikaange hadi kuwa hudhurungi na tia nyanya
  8. Kisha mimina mchanganyaiko wako ulio usaga na pilpil mang thomu na tangawizi,
  9. Koroga kwa dakika kathaa kisha mimina nyama iliyokuwa tayari maji kisha na chumvi kidogo nasubili maji yachemke na weka mchele wako uchanganye vizuri ili uchanganyike na viungo vyako pamoja na nyama isikae sehemu moja
  10. Funika hadi maji yakauke,na ugeuze kama umeiva kama bado ufunike tena,subili kw dakika chake, na hapo chakula chako kitakuwa tayali kwa kuliwa
 
Aaaaaasssh!!! Mpaka mate yamenijaa mdomoni, nitajiandaa nipike this Christmas [emoji23][emoji23][emoji23]ila sasa hii thomu siijui, inafananaje wakuu? Au nitaipata wapi kwa urahisi?
 
Naomba kujulishwa thomu kwa kiswahili tulichokizoea huenda ikawa ni ninii!??
 
Mkuu,
Pilau ni "SLOW POISON" yenye ladha nzuri, ni sumu kwa sababu huwezi kuchanganya mazagazaga (viungo 11) kwa pamoja na ule bila kuathiri afya yako, tena hapo bado na juice ya kushushia.

Hayo ni maoni yangu binafsi wala sijashurutishwa na mtu.
 
Naona kama kuna bakuli la maharagwe pembeni kushoto, je nalo linahusika kwenye hiyo punje ya sikukuu?
 
Mkuu,
Pilau ni "SLOW POISON" yenye ladha nzuri, ni sumu kwa sababu huwezi kuchanganya mazagazaga (viungo 11) kwa pamoja na ule bila kuathiri afya yako, tena hapo bado na juice ya kushushia.

Hayo ni maoni yangu binafsi wala sijashurutishwa na mtu.
Foolish
 
Aaaaaasssh!!! Mpaka mate yamenijaa mdomoni, nitajiandaa nipike this Christmas [emoji23][emoji23][emoji23]ila sasa hii thomu siijui, inafananaje wakuu? Au nitaipata wapi kwa urahisi?
Itakuwa anamaanishwa kitunguu swaumu....thomu(swaumu)
 
Wenzako wastaarabu huwa wanahoji na sio kutukana,

Huwezi kuchanganya hiyo "miti shamba" kwa kiasi hicho na isiwe umetengeneza sumu!!, Ni uroho wako wa pilau ndio utakao kuponza kama jinsi uroho wa nguruwe unavyomponza kwa utamu wa maji ya muwa.
 
Ebu weka hapa utafiti wa kisayansi unaothibitisha hilo unless utakua umeshiba kiporo umeamua kuja kujambia humu.
 
Hata kama ninao ushahidi, vipi niuweke mbele yako wewe "stinking shit pit mouth"---, foolish mad man".

Wenzako wanahoji kwanza halafu ndipo wanaanza "kutukana", wewe unaanza tu kutukana wakati you are ignorant -- mwalimu gani atatoa elimu baada ya kutukanwa na crazy stupid student like you!!! au umeshiba pilau la juzi na umekuja kunya humu jf?!!, au ni bangi umevuta?!!.
 
Karibu katika jiko na mapishi, na leo tutajifunza kupika pilau la nyama ya ng`ombe.
VIPIMO,

  • Mchele 2kg
  • Nyama ya ng`ombe 1k
  • Pilpilihoho 1kubwa
  • Nyanya 3kubwa
  • Vitungu maji 2vikubwa
  • Thomu iliyosagwa 1kimoja cha supu
  • Tangawizi 1kijiko kimoji cha chai
  • Mafuta ya kupikia 1/2 kikombe
  • Binzari nyembamba 1kijiko kimoja cha chai
  • Pilpili manga1/2 kijiko cha chai
  • Hiliki 1/2 kijiko cha chai
JINSI YA KUPIKA PILAU LA NYAMA YA NG`OMBE

  1. Loweka mchele wako katika chombo,
  2. Chukua nyama na uioshe na itie thomu,tangawizi,ndimu,pilipili manga, na chumvi kiasi
  3. Iweke jikoni hadi ikauke maji,na maji yakikauka ikaangekaange ka hayo hayo mafuta ambayo uliyaweka mwanzo hadi kuwa rangi ya hudhurungi(broun)
  4. Katakata vitunguu na nyanya pembeni
  5. Chukua pilpil manga,thomu,tangawizi na uvisage katika mashine ya kusagia au kinu,
  6. Weka sufuria jikoni na utie mafuta,subiri yapate moto,
  7. Kisha tia vitungu na vikaange hadi kuwa hudhurungi na tia nyanya
  8. Kisha mimina mchanganyaiko wako ulio usaga na pilpil mang thomu na tangawizi,
  9. Koroga kwa dakika kathaa kisha mimina nyama iliyokuwa tayari maji kisha na chumvi kidogo nasubili maji yachemke na weka mchele wako uchanganye vizuri ili uchanganyike na viungo vyako pamoja na nyama isikae sehemu moja
  10. Funika hadi maji yakauke,na ugeuze kama umeiva kama bado ufunike tena,subili kw dakika chake, na hapo chakula chako kitakuwa tayali kwa kuliwa
sijakuelewa mkuu nyama umeishaikaanga haina maji,sasa maji yenye nyama yanatoka wapi au ile supu iliyobaki au ulivyoikanga ukaweka maji
 
Hata kama ninao ushahidi, vipi niuweke mbele yako wewe "stinking shit pit mouth"---, foolish mad man".

Wenzako wanahoji kwanza halafu ndipo wanaanza "kutukana", wewe unaanza tu kutukana wakati you are ignorant -- mwalimu gani atatoa elimu baada ya kutukanwa na crazy stupid student like you!!! au umeshiba pilau la juzi na umekuja kunya humu jf?!!, au ni bangi umevuta?!!.
Povu tu hilo hamna kitu ..siwezi kutishika na maneno ya kwenye kanga.
 
Back
Top Bottom