Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar


Duu aisee asante sana mkuu
 
Samahani hiyo sukari inachemka mpaka iwe nzito?Halafu umesema unakoroga na mikono Ina mana unaacha huo mchanganyiko upoe Kwanzaa?
 
Ni vizuri ungesema jinsi wewe unavyoupika ili nijue wapi unakosea nipate kukuelekeza
 
nahitaji kutengeneza ubuyu je natakiwa niwe na shingapi na mahitaji yake ni yapi maisha magumu mwenzenu
 
Kwa anaye fahamu jinsi ya kuuandaa ubuyu wa mbegu na kuuchanganyia rangi na viungo vyake vyote muhimu ili uwe mtamu kama ule wa Zanzibar ni nini unafanya jamani?
 
Asante sana mwamba nakubali sana%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…