Jinsi ya kupika uji wa lishe bila kuunguza

Jinsi ya kupika uji wa lishe bila kuunguza

kiface

Senior Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
151
Reaction score
61
Habari wa jfchef, naomba msaada kwa mwenye utaalamu wowote wa kukoroga uji wa lishe bila kuungua, maans kila nigorogapo lazima niunguze

Asanteni
 
Uji hautaki moto mkali..punguza moto ili uwive vizur na usiwe unaachia mkono muda mrefu
 
Alafu usiuache uwe mzito sana lazma utaungua tu add maji kidogo kidogo huku unakoroga hadi kuwiva
 
Back
Top Bottom