Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
Habari wanajf nimekuwa nikijaribu kupika lakini naishia kupika bokoboko sasa nilikuwa naomba ushauri jinsi ya kupika wali vizuri kama wa hotelini yaan nisaidieni please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuma Kimekaza Mkuu!DUUH TAFUTA RICE COOKER UPIKE KWA VIPIMO
Chuma Kimekaza Mkuu!
Naomba unipe tips mkuu,Mimi huwa unanishinda kwenye gesiUsitie maji mengi.mi wali napikia jiko la gesi na unatoka umenyooka!pia usiugeuze wakati bado maji hayajakauka
Kwenye gas fata hapo juu. Me mwenyewe napika kwenye gas na unatoka fresh kabisa.Naomba unipe tips mkuu,Mimi huwa unanishinda kwenye gesi