Jinsi ya kupima kiwanja/shamba kwa google earth.

Jinsi ya kupima kiwanja/shamba kwa google earth.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
1. Kwanza unasearch mji/ mtaa au sehemu kiliko kiwanja. Labda Arusha.
Screenshot_20220902-192838.png

2. Kisha unazoom kukipata hicho kiwanja. Labda kiwanja pembeni na uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Screenshot_20220902-193118.png

3. Unaclick kwenye hiyo alama ya pili toka kulia. Iliyo kama alama ya rula. Itakuletea hako kaduara kama ka kulenga. Utakaweka sehemu unayotaka.

Screenshot_20220902-193150.png
 
Attachments

  • Screenshot_20220902-193118.png
    Screenshot_20220902-193118.png
    380 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220902-193150.png
    Screenshot_20220902-193150.png
    311.3 KB · Views: 27
4. Click add point kisha anza kupeleka kufuatisha mpaka. Kila ukitaka kikata kona unaclick add point na kuelekea unakotaka.
Screenshot_20220902-193306.png
 
Chini unaweza kuchagua vipimo vya Sqm au acres etc.
 
Kwanza unasearch mji/ mtaa au sehemu kiliko kiwanja. Labda Arusha.
elezea unavyo search, unawasha icon zipi kusearch? Field Area measure unaifahamu? Kuna apps kama hizo, je iliyo bora ni ipi?
 
elezea unavyo search, unawasha icon zipi kusearch? Field Area measure unaifahamu? Kuna apps kama hizo, je iliyo bora ni ipi?
Kama unafahamu hayo, Field area measure na apps bora karibu tusaidie.
 
Kama unafahamu hayo, Field area measure na apps bora karibu tusaidie.
mimi ninajua kidogo sana. Field area measure ni ya kupima eneo lako kwa kutembea na simu yako kuzunguka mipaka ya kiwanja. Hivyo vya rula havipo kwenye hii. Hivyo wewe tupe undani wa namna ya kuoperate hiyo
 
Hii unapima kwa simu au computer kwa app ya google earth. Unatakiwa tu kujua kiwanja kilipo. Unikitafuta kwa kusearch au kuscroll. Unakizoom na kupima perimeter yake kama nilivyoonyesha kwa kupitisha mpakani. Kisha yenyewe inakuletea majibu ya urefu wa mpaka, ukubwa kwa Sqm, Acres nk nk
 
Hii unapema kwa simu au computer kwa app ya google earth. Unatakiwa tu kujua kiwanja kilipo. Uankitafuta kwa kusearch au kuscroll. Unakizoom na kupima perimeter yake kama nilivyoonyesha kwa kupitisha mpakani. Kisha yenyewe inakuletea majibu ya urefu wa mpaka, ukubwa kwa Sqm, Acres nk nk
ngoja nijaribu nitaleta mrejesho
 
Back
Top Bottom