Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
elezea unavyo search, unawasha icon zipi kusearch? Field Area measure unaifahamu? Kuna apps kama hizo, je iliyo bora ni ipi?Kwanza unasearch mji/ mtaa au sehemu kiliko kiwanja. Labda Arusha.
4. Click add point kisha anza kupeleka kufuatisha mpaka. Kila ukitaka kikata kona unaclick add point na kuelekea unakotaka.
View attachment 2343422
Kama unafahamu hayo, Field area measure na apps bora karibu tusaidie.elezea unavyo search, unawasha icon zipi kusearch? Field Area measure unaifahamu? Kuna apps kama hizo, je iliyo bora ni ipi?
mimi ninajua kidogo sana. Field area measure ni ya kupima eneo lako kwa kutembea na simu yako kuzunguka mipaka ya kiwanja. Hivyo vya rula havipo kwenye hii. Hivyo wewe tupe undani wa namna ya kuoperate hiyoKama unafahamu hayo, Field area measure na apps bora karibu tusaidie.
Hii unapima kwa simu au computer kwa app ya google earth. Unatakiwa tu kujua kiwanja kilipo. Unikitafuta kwa kusearch au kuscroll. Unakizoom na kupima perimeter yake kama nilivyoonyesha kwa kupitisha mpakani. Kisha yenyewe inakuletea majibu ya urefu wa mpaka, ukubwa kwa Sqm, Acres nk nkmimi ninajua kidogo sana. Field area measure ni ya kupima eneo lako kwa kutembea na simu yako kuzunguka mipaka ya kiwanja. Hivyo vya rula havipo kwenye hii. Hivyo wewe tupe undani wa namna ya kuoperate hiyo
ngoja nijaribu nitaleta mrejeshoHii unapema kwa simu au computer kwa app ya google earth. Unatakiwa tu kujua kiwanja kilipo. Uankitafuta kwa kusearch au kuscroll. Unakizoom na kupima perimeter yake kama nilivyoonyesha kwa kupitisha mpakani. Kisha yenyewe inakuletea majibu ya urefu wa mpaka, ukubwa kwa Sqm, Acres nk nk
Kiwanja ambacho hakijapakana na sehemu inayojulikana huwezi kukipata.ngoja nijaribu nitaleta mrejesho
Shukrani sana kwa somo zuri,