Jinsi ya kupost barua kwanjia ya EMS

Naombeni msaada namna ya kupost barua kwanjia ya EMS

Nenda ofisi yoyote ya posta iliyo karibu nawe. Wao ndio wanafanya hiyo kazi. Unafika unawapa barua,unawaambia unataka kuituma kwa EMS watakwambia garama yake,utalipia,wataituma!
 
Thank you very much wandugu it was my major problem so i think it is now solved. mungu awabariki saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…