Jinsi ya kupunguza uzito

Jinsi ya kupunguza uzito

manka81

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
69
Reaction score
34
naomba kujua jinsi ya kupunguza uzite nisaidieni jamani,nafanya mazoezi bt sipungui na nina appetite nzuri,na je kuna dawa ya kupunguza appetite
 
unaweza kuanza kwa kupunguza kutumia vyakula vyenye mafuta,chakula cha jioni kula kidogo sana au chepesi, maji mengi ni ya muhimu,mboga za majani na matunda kwa wingi,juisi ya limao. tumia muda mwingi kufanya shughuli zako ukiwa umesimama zaidi ya kukaa.
 
mazoezi pekeake hayatosh jarbu kuangalia aina ya chakula unakula,na hayo mengne km Isaac alivokushaur
 
naomba kujua jinsi ya kupunguza uzite nisaidieni jamani,nafanya mazoezi bt sipungui na nina appetite nzuri,na je kuna dawa ya kupunguza appetite

Komaa na mazoezi na fanya diet ... achana na short cut ya madawa........angalia aina ya mazoezi unayoyafanya ...... hakikisha una-burn mafuta kwenye mazoezi yako ...... si ili mradi mazoezi tu!!!

NB:
kitu ukifanya kila siku cha aina ileile; kwa mfano km kukimbia kila siku let say mwendo wa 10km/hr inakuwa sio mazoezi tena hayo .... inakuwa ni kitu cha kawaida tu....so adjust adjust kidogo .....

POINT:
BURN MAFUTA
 
Back
Top Bottom