Za asubuhi wadau,
Nilipata tender ya kumtengenezea mteja barcodes kwa ajili ya bidhaa fulani ambayo anataka kuiuza sokoni. Sasa nilitaka kujua - je kuna njia rasmi ya kujua whether or not bar codes ambazo nitaassign ishatumika kwingineko? Nilitaka kuepuka kurudia. Au process ya kuregister ni ipi?
Kwa anayejua naomba msaada. Asante