Jinsi ya kurejesha uume ulioathiriwa na kujichua

Jinsi ya kurejesha uume ulioathiriwa na kujichua

instagramboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
1,521
Reaction score
345
Habari wadau.. Asalaam aleykum.. Bwana yesu asifiwe.

mimi ni kijana mwenye miaka 25

nimesoma boys school kwa miaka 6..kiukweli kama mjuavyo maisha ya boys.. Nilikuwa napenda sana kutumia masturbation kama njia ya kusolve mihemuko ya ngono

sasa tatizo hilo nahisi limeniathiri maana siku hizi uume ukisimama unakuwa mkubwa haswa ila ukisinyaa unakuwa mfupi mno kiasi kwamba najickia vibaya

hivyo nina wasiwasi kuwa huenda uume wangu umeathiriwa na masturbation

je... Nifanyaje ili kuurejesha ktk ukubwa unaofaa.. Ili hata pale unaposinyaa usiwe mdogo kama wa mtoto

je kuna dawa yoyote inayoweza kurejesha misuli ya uume ktk ubora wake?? inapatkana wapi??

MSAADA TAFADHALI
 
Usicheze mbali na sabuni ili kurudisha kumbu kumbu karibu, hii ina maana once kanaanza unyong'onyefu akili inaclick sabuni basi graph inarudi kwenye peak!
 
Back
Top Bottom