Mimi yalinikuta ila nilishindwa vumilia kabisa
Nikala ila wakati tuko room kwake macho si unajua tena
unashangaa chumba cha watu
basi kila nikizungusha jicho nakutana na picha za mume wake
mara nyingine juu ya dressing,nyingine ukutani,nyingine juu ya Kabati
yani ile picha niiangalia naona kama naangaliwa na mume wake
Ukitegemea mume wake mwenyewe alikua dereva malori,mweusi sura ngumuuu
Nilikua tu nawaza huyu jamaa akija nikuta humu si atanigeuza tairi mimi
Nilimkula kimoja mbooo haikusimama tena (sio kwa picha zile za yule baba)