I IQ96 New Member Joined Jan 23, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Jan 27, 2024 #1 wadau nilikuwa naomba kujua kwa anaye fahamu namna ya kurudia mitihani (private candidate ) inakuwaje? na process zote
wadau nilikuwa naomba kujua kwa anaye fahamu namna ya kurudia mitihani (private candidate ) inakuwaje? na process zote
Kaab msafi Member Joined Jun 13, 2013 Posts 60 Reaction score 115 Jan 27, 2024 #2 Ni rahisi,nenda shule au vituo vilivyosajiliwa na necta ambazo wanatoa huduma ya watahiniwa binafsi(PC). Utafanya usajili wa kufanya mitihani.
Ni rahisi,nenda shule au vituo vilivyosajiliwa na necta ambazo wanatoa huduma ya watahiniwa binafsi(PC). Utafanya usajili wa kufanya mitihani.
I IQ96 New Member Joined Jan 23, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Jan 27, 2024 Thread starter #3 Kaab msafi said: Ni rahisi,nenda shule au vituo vilivyosajiliwa na necta ambazo wanatoa huduma ya watahiniwa binafsi(PC). Utafanya usajili wa kufanya mitihani. Click to expand... Navijuaje vituo kaka ? tafadhali?
Kaab msafi said: Ni rahisi,nenda shule au vituo vilivyosajiliwa na necta ambazo wanatoa huduma ya watahiniwa binafsi(PC). Utafanya usajili wa kufanya mitihani. Click to expand... Navijuaje vituo kaka ? tafadhali?
JUMALIKA Member Joined Dec 21, 2021 Posts 32 Reaction score 37 Jan 28, 2024 #4 IQ96 said: Navijuaje vituo kaka ? tafadhali? Click to expand... Call me 0712 35 95 10
kingkimwe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2015 Posts 1,839 Reaction score 2,481 Jan 28, 2024 #5 Upo mkoa gan mkuu