Jinsi ya kusafirisha wadudu kutoka Tanzania hadi Marekani

Unamfahamu Akram Aziz? Kesi aliyo shtakiwa nayo mdogo wake Rostam Aziz ndiyo utakayo shtakiwa nayo wewe mashtaka ambayo hayana dhamana.....


Na hata ukifuata process zote ukifika airport utakamatwa na hao panzi wako....

Nacho kushauri achana na hiyo biashara utapotea, mwambie huyo mzungu aje Tanzania.... Sasa hivi kusafirisha wanyama/wadudu ni msala
 
Hata hawa mbu wa Malaria ukitaka kuona serikali ina uchungu nao waweke kwenye maboksi na uwapekele nje ya nchi.

Watakukamata kwa kusafirisha nyara za serikali.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Sasa mkuu huyo anataka Panzi kwa Ajili ya research tu au kuna kingine.?

I can't emagine eti unasumbuka na kutafuta Transport kabisa hahaha.



Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Unaweza Nyea Mtondoo kwa ajili ya kusafirisha Balale tuu aka Barangulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…