Tumia njia hii rahisi na salama kusafisha microwave yako
View attachment 280356View attachment 280357View attachment 280358
Mahitaji
Microwave safe bowl
Limau 1
Maji nusu kikombe
Kitambaa safi
Namna ya kusafisha
Weka maji katika bakuli na kamulia limau lako
Weka ndani ya microwave na washa kwa dakika 4
Ndani ya microwave kutafanya mvuke na vyakula vilogandia vitakuwa katika hali ya kunata
Chukua kitambaa na safisha vizuri futa kila kona
Kama bado haijasafika vizuri washa tena kwa dakika 2 then futa
Limau linasaidia kukata harufu ya vyakula na pia linau vijidudu vilivyogandia katika mabaki ya vyakula katika microwave
Sijajaribu lakini je nikitumia siki (vinegar) au ndimu badala ya limau kuna ubaya gani?
Kusema kweli wala huhitaji hata kutumia siki au ndimu.
Wewe chemsha tu hata maji lakini iwe kwenye chombo ambacho ni microwavable.
Chemsha kwa dakika 3-5 halafu fungua mlango.
Chukua paper towel [na kama una glass cleaner basi unaweza kutumia hiyo kama nyongeza tu] na aanza kufuta.

Mkuu white vinegar ndiyo yenyewe, weka katika bakuli kama robo lita iache ichemke 4 minutes. Baada ya hapo unafuta tu na kubakiwa na Microwave safe na haru nzuriii. White vinegar pia unaweza kutumia katika kusafisha bakuti la choo. Very simple, lowesha paper towels au toilet papers zibandike ndani ya choo kuzungusha ndani ya "bowl" lote. Acha overnight kesho yake flush mchezo umeisha!

Ila limau linasaidia kukata harufu
Malimau matatu $2, white vinegar 2L = $3Vipi kuhusu scent ukitumia limau?
Huwa linaacha ile 'citrus scent'?
Mimi sijawahi kutumia kabisa limau ila nitajaribu.
Mara nyingi huwa natumia tu citrus scented glass cleaner baada ya kuchemsha maji na kufuta na paper towels.
Malimau matatu $2, white vinegar 2L = $3
Vipi kuhusu scent ukitumia limau?
Huwa linaacha ile 'citrus scent'?
Mimi sijawahi kutumia kabisa limau ila nitajaribu.
Mara nyingi huwa natumia tu citrus scented glass cleaner baada ya kuchemsha maji na kufuta na paper towels.
Dada farkhina nipe namna ya asili ya kufanya jiko liwe na harufu nzuri ya kupendeza.
Ukimaliza kupika chemsha maji na mdalasini harufu ya vyakula yote itapotea
Kama kuondoa shombo pia choma habba sawda (black seed) me baada ya hapo huchoma ubani then udi kama hupendi hivyo tumia tu habba sawda