Jinsi ya kusajili wazo la biashara

Jinsi ya kusajili wazo la biashara

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
Wakuu nilikuwa nauliza km Una wazo la biashara unatka kulisajili ili lisije likaibwa je ni taasisi gani inayohusika na usajili na mawazo ya biashara?
 
Labda ufafanue zaidi.....kwa kimombo unamaanisha "how to register a business idea"?
 
Wakuu nilikuwa nauliza km
Una wazo la biashara unatka kulisajili ili lisije likaibwa je ni
taasisi gani inayohusika na usajili na mawazo ya biashara?

fika Cosota (Copywright society of tz) wako kabla ya victoria bara bara ya al hassan mwinyi.. pita barabara iliyo pembeni ya AAR hospital
 
Back
Top Bottom