komeka JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 1,072 Reaction score 403 Feb 18, 2014 #1 Wakuu nilikuwa nauliza km Una wazo la biashara unatka kulisajili ili lisije likaibwa je ni taasisi gani inayohusika na usajili na mawazo ya biashara?
Wakuu nilikuwa nauliza km Una wazo la biashara unatka kulisajili ili lisije likaibwa je ni taasisi gani inayohusika na usajili na mawazo ya biashara?
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Feb 18, 2014 #2 Labda ufafanue zaidi.....kwa kimombo unamaanisha "how to register a business idea"?
neggirl JF-Expert Member Joined Jul 30, 2009 Posts 4,849 Reaction score 2,132 Mar 7, 2014 #3 komeka said: Wakuu nilikuwa nauliza km Una wazo la biashara unatka kulisajili ili lisije likaibwa je ni taasisi gani inayohusika na usajili na mawazo ya biashara? Click to expand... fika Cosota (Copywright society of tz) wako kabla ya victoria bara bara ya al hassan mwinyi.. pita barabara iliyo pembeni ya AAR hospital
komeka said: Wakuu nilikuwa nauliza km Una wazo la biashara unatka kulisajili ili lisije likaibwa je ni taasisi gani inayohusika na usajili na mawazo ya biashara? Click to expand... fika Cosota (Copywright society of tz) wako kabla ya victoria bara bara ya al hassan mwinyi.. pita barabara iliyo pembeni ya AAR hospital