Jinsi ya kuset Channel ya WhatsApp ionekane mtu akiitafta kwa jina

Jinsi ya kuset Channel ya WhatsApp ionekane mtu akiitafta kwa jina

Creed08

New Member
Joined
Oct 12, 2024
Posts
4
Reaction score
1
Habari wakuu,

Naomba kujua jinsi ya kufanya channel hizi za WhatsApp iweze kuonekana kwenye search pale mfano WhatsApp mtu akiitafta jamiiforum inakuja.

Naomba kufahamishwa tafadhali, ni process gani nizifate.
 
Back
Top Bottom