C Creed08 New Member Joined Oct 12, 2024 Posts 4 Reaction score 1 Jan 8, 2025 #1 Habari wakuu, Naomba kujua jinsi ya kufanya channel hizi za WhatsApp iweze kuonekana kwenye search pale mfano WhatsApp mtu akiitafta jamiiforum inakuja. Naomba kufahamishwa tafadhali, ni process gani nizifate.
Habari wakuu, Naomba kujua jinsi ya kufanya channel hizi za WhatsApp iweze kuonekana kwenye search pale mfano WhatsApp mtu akiitafta jamiiforum inakuja. Naomba kufahamishwa tafadhali, ni process gani nizifate.
Last_Born Member Joined Dec 9, 2022 Posts 69 Reaction score 100 Jan 8, 2025 #2 Hakikisha unafolowers wasiopungua 1k
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,495 Reaction score 5,025 Jan 8, 2025 #3 Last_Born said: Hakikisha unafolowers wasiopungua 1k Click to expand... Term ngumu sana hio
Last_Born Member Joined Dec 9, 2022 Posts 69 Reaction score 100 Jan 8, 2025 #4 Kilangi masanja said: Term ngumu sana hio Click to expand... Ndiyo hivyo na unakuwa automatically verified
Kilangi masanja said: Term ngumu sana hio Click to expand... Ndiyo hivyo na unakuwa automatically verified
C Creed08 New Member Joined Oct 12, 2024 Posts 4 Reaction score 1 Jan 23, 2025 Thread starter #5 Last_Born said: Hakikisha unafolowers wasiopungua 1k Click to expand... Mimi channel yangu ina followers 48k mkuu lakini haionekani nikiisearch
Last_Born said: Hakikisha unafolowers wasiopungua 1k Click to expand... Mimi channel yangu ina followers 48k mkuu lakini haionekani nikiisearch
C Creed08 New Member Joined Oct 12, 2024 Posts 4 Reaction score 1 Jan 23, 2025 Thread starter #6 Last_Born said: Ndiyo hivyo na unakuwa automatically verified Click to expand... Mimi nina followers 48k au kuna procedure zipi tena?
Last_Born said: Ndiyo hivyo na unakuwa automatically verified Click to expand... Mimi nina followers 48k au kuna procedure zipi tena?