Jinsi ya kusetup FTP bila kutumia any software in windows

Jinsi ya kusetup FTP bila kutumia any software in windows

Kilongwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
423
Reaction score
116
NImeamua kuja na hii mada kwakuwa juzi tu,kuna rafiki yangu wa karibu amenijia usiku akiniambia kuwa anahitaji mafaili kutoka nyumbani ila tatizo ni kuwa hayo mafaili ni makubwa mno,hawezi kuyatuma kwa kutumia e mail za kawaida,kwa kutumia compression inafanya kazi ila still ni kazi nzito,assume file lenye 1GB,utalivunjavunja mara ngapi kutosha kwenye e mail inayobeba 10MB?

FTP ndio suluhisho,Unachotakiwa kufanya ni kuwa na FTP Server na Client,Server anapokea mafaili na Client anatuma,Sasa ni jinsi gani unavyoweza kufanya hili litokee bila ya kutumia any software??
NInaanza na jinsi ya kuconfigure FTP Server ambayo ni rahisi zaidi

FTP SERVER CONFIGURATION
Kwana inatakiwa kutayarisha Windows CD,kwani inaweza kuhitajika,hii inategemea na Initial installation

1. Click start button halafu chagua Contol panel

2. Chagua add and remove components

3.Chagua "Internet Information Services" under "Windows Components."

4.Click "details" and select the "File Transfer Protocol (FTP)" service. (Kumbuka,kwa kuchagua hii,pia itachagua "Common Files" and "Internet Information Services Snap-In.")

5.Click OK halafu fatisha maelekezo itakayokupa(au kama inakuboa basi we click next next next mpaka mwisho). Kama ulikuwa haujainstall FTP utaulizwa your windows CD,Baada ya kazi yooote unatakiwa kuirestart computer.

Hehe,Umemaliza kwenye Server,unachotakiwa kwa sasa ni kucopy mafaili yako yote yatakayokuwa yanapatika kwa FTP kwenda kwenye "C:\INETPUB\FTPROOT." Kumbuka that by default, haya mafaili ni read-only na public. Public inamaanisha mtu yeyote anayejua IP address yako anaweza kuayadownload

There's more to go! Inatakia kuconfigure firewall to let FTP traffic through.Hii inategemeana na antivirus yako,au nenda kwenye windows firewall.
baada ya kumaliza kila kitu,sasa unaweza kuaccess FTP yako kupitia Browser. Hivyo twende stage ya pili on Client side

FTP CLIENT USING BROWSER
1.Connect to Internet Explorer

2. Kwenye Browser andika IP address yako,kama unavyoandika address za website ila tofauti ni kuwa unaanza na FTP badala ya HTTP,kwa mfano ftp://216.10.249.121
216.10.249.121: IP au domain yako,
Mfano, kama IP yako ni 208.87.149.250 then :utaandika ftp://208.87.149.250


3. A login prompt itatokea, weka username na password

4. Click Log On button (Usicheck Login Anonymously )


5. Select View --> Open FTP site in Windows Explorer(Hapa unaweza kuulizwa password,imenitokea marakadhaa,pia hii step kuna baadhi ya browser inakuja tayari ipo on so huitaji hii hatua)

6. Drag and drop files to upload or download from your site,hapa unatumia windows explorer sasa,utaona hata muonekano umebadilika

NB:NImejaribu kucopy na kupaste images page ikawa hairespond,so kwa original post unaweza kuipata Hapa
 
that's great way of sharing knowledge, sote tunajifunza kwa wanaofahamu kitu. keep it up

lakini hiyo njia ya FTP inawezekana kwa baadhi ya operating systems, lakini kama mtu unatumia xp home edition au vista basic umeambulia patupu. otherwise kuna free au open source FTP clients kama FileZilla
 
Kilongwe, ahsante kwa ku-share knowledge. Hata hivyo statement yako hapo juu kuhusu 'kufanya ftp bila kutumia software' nadhani iko tata. Unapofanya setup kwenye computer na kuweza kutuma ma-file unakuwa unatumia nini?? Katika hili, mimi nadhani ulimaanisha 'third party utilities' nje ya operating system yako na siyo totality ya NO software ili kufanikisha FTP. Je, niko sawa?!
 
Kilongwe, ahsante kwa ku-share knowledge. Hata hivyo statement yako hapo juu kuhusu 'kufanya ftp bila kutumia software' nadhani iko tata. Unapofanya setup kwenye computer na kuweza kutuma ma-file unakuwa unatumia nini?? Katika hili, mimi nadhani ulimaanisha 'third party utilities' nje ya operating system yako na siyo totality ya NO software ili kufanikisha FTP. Je, niko sawa?!

haswaaa,nashukuru mkuu kwa masahihisho.
 
Shukran mkuu Kilongwe,

Kwa kuongezea pia unaweza kutumia window ya Windows MS-DOS Prompt au "commercial program" yoyote ile (kama anavyoshauri mkuu Steve D) inayoweza kukupa Graphical User Interface.

Halafu umegusia ku-log in anonymously kupitia FTP hii ikiwa tu kama server inakuwa ni kwa ajili ya public access.

Ikiwa ni kwa matumizi ya kiofisi au mission maalum basi passwords zitahitajika.
 
Back
Top Bottom