Jinsi ya kushauri mabinti wasishiriki ngono

Wewe unataka kale kaugonjwa kenu ka sekondari ka kuzimia zimia shule nzima kaende pia kwenye mavyuo..!!? waache watoto wapunguze uzito bhana..
 
Mshauri kabla ya kigegedwa wakapime ukimwi kwanza,na baada ya hapo watumie kondom ( ili kuzuia mimba)

Ukweli ni kwamba binti/teenager kugegedwa katika zama za siku hizi na zijazo hakuta kwepeka/hakukwepeki.

Asipotafunwa na vijana wa mataani atatafunwa na house boy/ house girl. Au hata ndugu atakaye kutembelea hapo maana ufirauni nao unazidi kukua kwa kasi hapa bongo.
 
Kwani kugegedwa kwako kuna mtu aikufundisha! hayo mashauri kwa mabinti ni kwa sababu watu wamekuwa na mitazamo tofauti kulingana na maisha ya sasa lakini bado utapambana na mahitaji ya mwili kwani mtoto wa kike au wa kiume akifikia mda muafaka automatically mwili huitaji mambo ambayo hayakuwepo kabla na kama hataweza kuutekelezea mwili mahitaji yake huweza kumletea madhara na wakati mwingine akafanya mapenzi kwa mtu asiyetarajia, nadhani mlishaona ndugu au mtu na dada yake wakapeana ujauzito bila kutarajia au mtoto wa kike akapata ugonjwa WA kuweweseka na Kwa imani ya kawaida mtampeleka hospitali kupata vipimo na matokeo yake hatapatikana na ugonjwa wwt na ndo hapo mtoto atapelekwa kwa waganga wa kienyeji kwa kalogwa, ushauri wangu umri na mahitaji ya mwili yapewe kipaumbele, kugegendwa siyo mbaya ila asitake kujilinganisha na wazazi wake ambao wao kila cku wanahudhuria hilo zoezi!
 
Duuh
 
 
Huku kitaa situation inatisha under 18 taari wanajua mpaka usivyojua
 
Biblia inasema "ikimbie zinaaa"? Hilo neno ni kubwa sana ukilichakata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…