Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kwenye ofisi zaoHabarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza....
nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
Hata usipositisha,hela chuoni mtu anaingiziwa kwa kusaini..Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza....
nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
Logical fallacyMkuu kuna mawasiliano yao wameweka ya kila aina kwanini usiwasiliane nao direct kabla ya kuja kuuliza humu?
Kuna namba zao za simu za kuwapigia, email,WhatsApp, Instagram, Facebook, Twitter nakadhalika kote huko wapo.
Hata usipositisha,hela chuoni mtu anaingiziwa kwa kusaini..
Kama hautaenda chuo means hautakua na mwanya wa kusaini.Ko hela itarudi bodi na baada ya muda wataacha kupeleka chuoni kwako..