Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

fundi saa

Member
Joined
Jul 8, 2024
Posts
5
Reaction score
6
Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza....
nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
 
Mkuu kuna mawasiliano yao wameweka ya kila aina kwanini usiwasiliane nao direct kabla ya kuja kuuliza humu?

Kuna namba zao za simu za kuwapigia, email,WhatsApp, Instagram, Facebook, Twitter nakadhalika kote huko wapo.
 
Nenda kwenye ofisi zao
 
Hata usipositisha,hela chuoni mtu anaingiziwa kwa kusaini..

Kama hautaenda chuo means hautakua na mwanya wa kusaini.Ko hela itarudi bodi na baada ya muda wataacha kupeleka chuoni kwako..
 
Mkuu kuna mawasiliano yao wameweka ya kila aina kwanini usiwasiliane nao direct kabla ya kuja kuuliza humu?

Kuna namba zao za simu za kuwapigia, email,WhatsApp, Instagram, Facebook, Twitter nakadhalika kote huko wapo.
Logical fallacy
 
Hili ndo jibu, kama huendi chuo kausha tu.. hela chuo haikai itarudishwa kama hautaenda
Hata usipositisha,hela chuoni mtu anaingiziwa kwa kusaini..

Kama hautaenda chuo means hautakua na mwanya wa kusaini.Ko hela itarudi bodi na baada ya muda wataacha kupeleka chuoni kwako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…