noel oga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2015
- 272
- 219
wasalaaam wapendwa
Naomba kujua jambo kuhusu hiki kipimo cha ukimwi sd bioline,ni kwamba kimeandikwa dont read result after twenty minutes it may give false result,ok nahitaji mnifamishe madaktari je nini hutokea kama utasoma majibu baada ya dakika ishirini,lets say nimepima majibu nikasoma baada ndani ya dakika ishirin yakawa negative,na nikakiacha kifaa baada ya kusoma then nikaja kumuonyesha mke wangu baada ya dakika hizo ishirin je kifaa kinaweza kikabadili majibu au kikafanya changes na ndio sababu ya wao kuandika nisisome majib baada ya dakika ishirini? karibun madaktari wa maabara naomba ufafanuzi