mandevuclassic
Member
- Nov 23, 2013
- 79
- 119
Kwenye mchoro wameandika 2950 kwenye scale wamesema 1:75 ufafanuzi please
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km ni vivyo basi ni mita mbili na sentimeta 95Ok ni hivi, kwenye ardhi hapo TUMIA Milimita 2900 hizo ambazo kiuhalisia ni MITA 2 na CM 90.
Km ni vivyo basi ni mita mbili na sentimeta 95
Kitu kingine sijaelewa hiyo scale 1:75 inatumikaje hapo
1:75 humaanishi sentimita moja kwenye mchoro huwakilisha sentimita 75 kwenye ardhi. 1 cm on the map represents 75 cm on actual ground.Kwenye mchoro wameandika 2950 kwenye scale wamesema 1:75 ufafanuzi please
Kwenye Ramani ikiwa 1 kwenye ARDHI weka 75.Km ni vivyo basi ni mita mbili na sentimeta 95
Kitu kingine sijaelewa hiyo scale 1:75 inatumikaje hapo
Utatumia hii Kama scale ni 1:100 mtoa mada scale yake ni 1:75Ok ni hivi, kwenye ardhi hapo TUMIA Milimita 2900 hizo ambazo kiuhalisia ni MITA 2 na CM 90.