Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
Achana na salamu kwan ni chakula?
Sasa wakuu, plan hii inainvolve mtu kustaafu miaka mitano mbele kuanzia siku ya leo, may be inaweza kuwa 6 ila sio mbaya,
Plan yenyewe ni hivi, hakikisha unasave 2.2M kila mwezi kwa miaka 5 toka leo katika mfuko wa Bond fund UTT ambao kwa wastani huongezeka thamani yake kwa 12-16% kwa mwaka, hapo baada ya miaka mitano utakuwa na 200M.
Na hivyo utakuwa unavuta gawio la 2M kwa mwezi, hii pesa kama una nyumba na gari kwa bongo unaishi maisha yako fresh kabisa, unasomesha watoto shule nzuri tu, huku ukipiga tu madeal ya hapa na pale ya kukufanya uwe busy.
Vitu vya kuzingatia,
#1.Hutakiwi kuwa na familia kubwa, watoto mwisho watatu, ukiwa nao wawili inatosha,
#2. Hii ni theory based on papers, inawezekana ila kamtiti ni kusave hio 2.2M
#3. Uwe na roho ya kibandidu
Mpaka wakati mwingine tena,
Ni wenu Beberu J