asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,411
Ila hakuna kibaya kilichotokea.
Nasafisha macho kidogo...
Hivi game 3 ni lini huko Oracle?
Siku nyingine niulize mimi kwanza ila nikishindwa nitakupa mtu akuelekeze....usijichagulie
Mnakosaga cha kujitetea kwani?Yeye kipindi hicho alikuwa mapumziko JF.
[emoji23][emoji23][emoji23] naona mnajifunza kutag
Siku nyingine niulize mimi kwanza ila nikishindwa nitakupa mtu akuelekeze....usijichagulie
Mnakosaga cha kujitetea kwani?
Sawa, hili limepita bila kupingwa.
Kashaukubali utetezi wangu, usiharibu sasa.
Sawa, hili limepita bila kupingwa.
Heheheheee asijichagulie kwakweli
Hahahahhhh kashakubali
Wewe ni nani eti, nikumbushe hebu! Japo umenitukanaHapana mpenzi