Jinsi ya kutambua ibada ya kweli isiyo ya kweli

Jinsi ya kutambua ibada ya kweli isiyo ya kweli

Oscar Wissa

Senior Member
Joined
Sep 5, 2018
Posts
108
Reaction score
170
Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
 
sawa na kuangalia bunge la tanzania huku shabiby ana lalamika watu wanataka uraisi wakati yeye anataka ubunge kuongeza mabasi
 
ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
Shtuka wewe, hizo ni punje punje anarushiwa kuku ajae kwenye 18..hapo ndio uakutana na zile habari za "wokovu sio bure, ulimgharimu yesu maisha, hivyo toa ndugu sadaka itakayomgusa mungu"
 
Ukiona waumini wengi ni wanawake, hakuna injili hapo ni biashara ya kuuza hisia na faraja
 
Back
Top Bottom