Oscar Wissa Senior Member Joined Sep 5, 2018 Posts 108 Reaction score 170 Jul 25, 2024 #1 Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Jul 25, 2024 #2 Evangelist Oscar Maulid said: Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa. Click to expand... ibada ya kweli hakuna kiingilio ibada ya uaguzi kuna ada
Evangelist Oscar Maulid said: Katika ibada ya uaguzi nabii anakazana kukuambia nani kakuroga, ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa. Click to expand... ibada ya kweli hakuna kiingilio ibada ya uaguzi kuna ada
Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Jul 25, 2024 #3 sawa na kuangalia bunge la tanzania huku shabiby ana lalamika watu wanataka uraisi wakati yeye anataka ubunge kuongeza mabasi
sawa na kuangalia bunge la tanzania huku shabiby ana lalamika watu wanataka uraisi wakati yeye anataka ubunge kuongeza mabasi
Fanton Mahal JF-Expert Member Joined Mar 22, 2024 Posts 1,597 Reaction score 4,661 Jul 25, 2024 #4 Evangelist Oscar Maulid said: ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa. Click to expand... Shtuka wewe, hizo ni punje punje anarushiwa kuku ajae kwenye 18..hapo ndio uakutana na zile habari za "wokovu sio bure, ulimgharimu yesu maisha, hivyo toa ndugu sadaka itakayomgusa mungu"
Evangelist Oscar Maulid said: ila katika ibada ya kweli mtumishi anakazana kukwambia nani kakuokoa. Click to expand... Shtuka wewe, hizo ni punje punje anarushiwa kuku ajae kwenye 18..hapo ndio uakutana na zile habari za "wokovu sio bure, ulimgharimu yesu maisha, hivyo toa ndugu sadaka itakayomgusa mungu"
M2WAWA2 JF-Expert Member Joined Aug 15, 2014 Posts 3,285 Reaction score 5,598 Jul 25, 2024 #5 Ukiona waumini wengi ni wanawake, hakuna injili hapo ni biashara ya kuuza hisia na faraja