Sasa ween Unataka kunidanganya kwenye picha..nikitaka kuonana ana kwa ana na wewe utaimeza hiyo application??Hi
Habar zenu mmi naomba mnisaidie jina la application nzur inayotumika kwenye sm kuedit picha za kwa kutengeneza figure yaan hips tumbo na makalio
Hujui kutanua hips...[emoji45] [emoji45]Abee
Utakuwaa na shape mbaaayaaa grade oneAsee nimeidawload lakin haiedit figure
Njoo PMAbee