Jinsi ya kutawala dunia

Jinsi ya kutawala dunia

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
1. Uza dawa za meno zenye fluoride, kuua jicho la maono.

2. Fanya sukari na junks food zipatikane kila mahali, wawe vibonge na wapumbavu

3. Wape burudani za bure na pombe ziwepo, kizazi cha ulevi hakina maamuzi

4. Wawekee video za ngono kila mahali, wakishiba wafikirie kujikojolesha

5. Hamasisha kamali na ubashiri, waaminishe kuna hela rahisi hadi wawe addicted na kubeti sio kazi

6. Warahisishie huduma za TV ili waone Taarifa za habari na burudani za mpira kuteka hisia zao, tunatumia habari kusambaza

7. Wafunge kweny mnyororo wa umasikini kwa kuwapa mikopo hata kama kodi wanazo, wape Netflix, video games & simu janja

8. Hamasisha wale mara 3+ kwa afya ili walaji wawe wengi kuliko wazalishaji, tuwauzie sumu za kiwandani

9. Waambie kilimo ni kwa ajili ya watu masikini, waone ufahari kupanga mjini ili wakose sehemu ya kulima mboga na kufuga hata kuku

10. Wape Condom bure wazitumie kwa majaribio wakifanya ili kutanua soko la biashara ya ngono

11. Wape msaada wa mbegu za mazao na pembejeo (GMO) ili kuua mbegu zao halisi kisha wawe tegemezi wa mbegu na chakula

12. Angamiza utajiri wao kwa kuweka leseni kubwa viwandani na penati mzigo. Hakuna anayetakiwa kuwa tajiri kwa sababu huwezi kumuendesha tajiri

13. Wapumbaze kwa dini, wabishane nani msafi. Waamini viongozi wa dini sio Mungu

14. Hamasisha huduma za maji waache vyanzo halisi, kisha weka sumu ngumu na homoni za kike kwenye maji ya bomba ili wanaume wasizae

15. Waongezee na kupandisha kodi kila siku hadi wawe tegemezi wa serikali zao
 
Mkuu tuonyeshe na nnje ya vyote hivyo dunia isiyotawalika🤔
 
Unayo hoja usikilizwe.
 
Wape ARV Bure na ushauri na saa mzuri jinsi yakuendelea kushiriki tendo bila kumuambukiza mwenzakoo 🤪🤪
 
Mbona kama haya mambo ni mkakati wa NWO kutawala dunia? tayari wapuuzi wameishanasa mtegoni!
 
Hapo nimelewa sana hasa kwenye vyakula ambavyo inaonyesha vina ladha nzuri mdomoni, hii kitu inaitwa chakula nikitamu kwa ladha ya kuongezewa ni hatari sana🤔
 
Kwenye mbegu ndio wamebamba kinoma. Mbegu unapanda msimu mmoja tu ukivuna ukapanda hutavuna utaambulia mabua. Mbegu zenyewe hazina ladha nzuri ya chakula kama za zamani. Mahindi ya hovyo, mchele hovyo, nyanya si tamu kama za zamani unakula hata mbichi. Embe hazina utamu na harufu nzuri! Washenzi wameharibu mbegu zetu na kuleta zao walizozi modified
 
Mtoa mada una afya ya akili jiulize ukishawatendea watu ubaya wote huo wakawa masikini wewe utafaifikaje/ yani masikini wana faida gani kwa watawala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Uza dawa za meno zenye fluoride, kuua jicho la maono.

2. Fanya sukari na junks food zipatikane kila mahali, wawe vibonge na wapumbavu

3. Wape burudani za bure na pombe ziwepo, kizazi cha ulevi hakina maamuzi

4. Wawekee video za ngono kila mahali, wakishiba wafikirie kujikojolesha

5. Hamasisha kamali na ubashiri, waaminishe kuna hela rahisi hadi wawe addicted na kubeti sio kazi

6. Warahisishie huduma za TV ili waone Taarifa za habari na burudani za mpira kuteka hisia zao, tunatumia habari kusambaza

7. Wafunge kweny mnyororo wa umasikini kwa kuwapa mikopo hata kama kodi wanazo, wape Netflix, video games & simu janja

8. Hamasisha wale mara 3+ kwa afya ili walaji wawe wengi kuliko wazalishaji, tuwauzie sumu za kiwandani

9. Waambie kilimo ni kwa ajili ya watu masikini, waone ufahari kupanga mjini ili wakose sehemu ya kulima mboga na kufuga hata kuku

10. Wape Condom bure wazitumie kwa majaribio wakifanya ili kutanua soko la biashara ya ngono

11. Wape msaada wa mbegu za mazao na pembejeo (GMO) ili kuua mbegu zao halisi kisha wawe tegemezi wa mbegu na chakula

12. Angamiza utajiri wao kwa kuweka leseni kubwa viwandani na penati mzigo. Hakuna anayetakiwa kuwa tajiri kwa sababu huwezi kumuendesha tajiri

13. Wapumbaze kwa dini, wabishane nani msafi. Waamini viongozi wa dini sio Mungu

14. Hamasisha huduma za maji waache vyanzo halisi, kisha weka sumu ngumu na homoni za kike kwenye maji ya bomba ili wanaume wasizae

15. Waongezee na kupandisha kodi kila siku hadi wawe tegemezi wa serikali zao
Ccm washatumalizaaaaa
 
Hao watawala wa Dunia ni nani? Mara Marekani, Ulaya zimeoza katika yote hayo! Na ushoga juu!
 
Ukimiliki media zenye nguvu kubwa kwenye huu ulimwengu tayali umefankiwa kuitawala dunia kwa zaidi ya 50% au 60 izo zilizobak ndo ayo mengine
 
Back
Top Bottom